Xam Duke - This to all lyrics

Published

0 194 0

Xam Duke - This to all lyrics

(Hook) This to all to my n***a And to all my b**h And to all who dis me And to all who wanna k** me (verse 1) Xam duke nazari over gang Acha wivu suport il game Me nakomaa nisake pay Sio nisake madem Nisapoti ili game Masnitch kibao wanasnitch Kwa chini, chini kwa chini Thank all my n***a and mamy and daddy Rest in peace my Daddy Wanafake life, me nafake love Wana madem kibao Nawagonga wao Reala n***a stay kwenye dili Mwenyezi kanipa kipaji Acha nikifanyie kazi Ujanja sio kuonesha mavazi ujanja ni kufanya kazi Stay far paparazi, huna manufaa na yangu kazi Switch on turntable, iz verse moto kwenye cable Kila stanza lable kwenye paper Wanashuka chini me napanda juu Kwenye kila beat me napita juu Wanauza sura me nauza flow (Hook) This to all to my n***a And to all my b**h And to all who dis me And to all who wanna k** me