Xam Duke - Popote (Kokote) lyrics

Published

0 141 0

Xam Duke - Popote (Kokote) lyrics

(Intro) Aha,Gyah,yeah Xam Duke, Divai Ehe,Okay Okay Come on Baby, Come on Baby (verse 1) Wendo bonge la ndoto Moyoni mwangu sina mpango Na machangu baby baki kwangu Sogea ghetto ustay namii Sina mwingine tofauti na wewee Wakunia kiwewee (hee) Niamini ,niamini me ntabaki wako Japo sometime kuna vingi vikwazo Mbeleni tuendako Inabidi kuwa strong na maneno Ya binadamu Kwani wengi wao hawapendi tufike mbali Jiadhari na mashost wenye maneno Atari Ntakujari kwa kila hari Popote,kokote me ntasimama kidete Ndani ya game niruhusu me nisukume Izo kete, tupete Umeniteka zangu hisia mbaya nikikupimia Mbaya zaidi ukinikiss mchizi najipizia Msimamo kama chid Sitopenda mwingine zaidi yako Me na wee toka long time ago (Hook) Ppote,kokote Me ntabaki kuwa wako Baby Popote,kokotee Nikianguka uniokote Popote,kokote Utabaki kuwa wangu Baby Popote,kokote Nikianguka uniokote (Verse 2) Siwezi toka nje ya penzi Mpaka wanga wanakoma Wanaona nouma jinsi tulivyoshibana Kinyamwezi wawili kama pair Kila code maumivu si tunapepea Tunatembea,tunabembea Siwezi kumbuka wa rong time Sababu nipo nawee Nisawa na kutupa jiwe angani Au fanani bila hadhira Izi ni hasira za verse Uleta furaha ndani ya moyo Napenda unavyo tabasamu Nikiwa na hamu kunipunguzia jamu Huko fresh kuanzia juu mpaka chini Arufu nzuri, mixer kuzama chumvini Mchizi najiamini niko chimbo Nasaka madini,nasaka mapene Nikiwa fresh tukeshe usiku mnene Mezani full heinken Mara kibao ukiwa nami Unaegemea tu bega Napenda unavyo talk Kwa kustop kama vile umejitega Jitega jitega,popote, kokote (Hook) Ppote,kokote Me ntabaki kuwa wako Baby Popote,kokotee Nikianguka uniokote Popote,kokote Utabaki kuwa wangu Baby Popote,kokote Nikianguka uniokote (Outro) Jeba One Music