Wahu - Still A Liar lyrics

Published

0 638 0

Wahu - Still A Liar lyrics

VERSE 1 LYRICS: Nakumbuka chali mmoja akinikatia my dear you know that you are my number one sikujua kulikuwa na number two, number three and number four [dunia ina mambo] siku hizi ninasikia wakisema ni bwana wa watu, baba watoto sita lakini game yake haijakatika no... [dunia ina mambo] juzi nilimuona kilabu Nairobi na ndogondogo miaka yake ishirini eh tabia ni zile zile...x4 CHORUS LYRICS: Still a liar... you're just a little older[still a liar] miaka sio shida [still a liar] sugar daddy liar [still a liar] [dunia ina mambo]... VERSE 2 LYRICS: Mbona mzee hutulii nyumbani kwako usome gazeti ule chakula cha mkewe au ukapewe na wazee wenzako woh [dunia ina mambo] vunja mifupa kama meno bado iko ooh lakini kufukuzana na watoto ehh acheni aibu ndogo ndogo ooh [dunia ina mambo] mpaka achoke mpaka aseme game shoti [game shot] my sister usijienjoy eeh tabia ni zilezile... CHORUS LYRICS: Still a liar... you're just a little older [still a liar] miaka sio shida [still a liar] sugar daddy liar [stilla liar] [dunia ina mambo]... VERSE 3 LYRICS: Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia mwenye heshima ya watu wote eeh my dear usiwachilie eeh Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia mwenye heshima ya watu wote eeh my dear usiwachilie eeh na mikono yote, shikilia usiwachilie, shikilia usiteleze, shikilia dada shikilia wewe, shikilia na mikono yote, shikilia usiachilie, shikilia usiteleze, dada shikilia wewe, shikilia CHORUS LYRICS: Still a liar... you're just a little older miaka sio shida [still a liar] sugar daddy liar [stilla liar] [dunia ina mambo]...