SUGU Jay - Nani kama Mama lyrics

Published

0 165 0

SUGU Jay - Nani kama Mama lyrics

[Intro] Yeah, this dedication kwa mama wote duniani Mama anapotafuta, sio za kunywa beer ama kupatiya ma bwana Lakini bwana,.... Mama, I love u [Chorus] Nani mwema kama mama, hutomupata Nani mwema kama mama, hutomuona (x2) [verset 1] Nani kama mama, kwa kweli hakuna kama mama Kwa mama mtoto anadeka, anapata anachotaka Anadekeshwa kila siku, kwa kweli hakuna kama mama Mama anapoangaika, anatanga huku kule Ili wanae wasiteseke Mama wee, nani kama wewe, .... Mama we, hakuna kama wewe [Chorus] [verset 2] Mama alipo beba mimba, baba akamutupa Ndugu na marafiki, wakamutenga Alivumiliya sana, hakuwaza kunitupa Tuliishi kwa shida, nani kama mama... [Chorus] [ verset 3] Wa mama (x2) mtoto anadekezwa Wa mama (x2) ananyamazishwa Wa mama (x2) na anabembelezwa Wa mama (x2) oooh, ooh Wa mama (x2) anapata anachotaka Wa mama (x2) na mapenzi uvumilivu Wa mama (x2) oh oh oooh mama, hey [Chorus]