Soundtracks - Bomboclat by Jose Chameleone lyrics

Published

0 596 0

Soundtracks - Bomboclat by Jose Chameleone lyrics

Simbilimbili mamba ma eee I got to go badilisha i let u go I got to go badilisha Unaniumiza sana ninateseka Ndani moyoni mimi naumwa I got to go kan'gendee I let you go sitaweezaaa Nimevumilia sana hutaki change Naona umeshindwa kubadilisha I got to go kankupewee I let you go mukwano nunyaaa ×2 Pete yaharusi ninayo kidoleni Nilikupenda mababy sorry Utampata mwingine dont worry ha haaaaa Watoto tumezaa tunao tiyari Tulipanga mi na we milelee Lakini nini nini nini nini nini unanichangaya Maisha wote wawili tulipanga Shida ni nyingi hatujakosana Haingekuwa hivyo unapenda hupendi Mupenzi tuachane na ivyo ilivyoo Repeat hivi bahaati unaempenda sana popote alipo Aitwe tapeliii atakula zamtu anakula zake zipo Nipe changu nami nikupe chakoo Kama hunipendi hilo ni lakoo We got alot issue to settle Pamoja twende msetoo Love me baby i will love you back Scratch my back i will scratch your back Tatizo unapendwa hupendi na hivyo ilivyoo Repeat tuliamua tuwe together Mimi na wewe tuwe forever Aaahadi yetuu Mimi na wewe na watoto wetuu Tupambane shida zote za nyumbani tuzimalize Now gal every woman for a man Love me i love you back n not watagwan Gal its another tunda missing Abanga tunda dis one galang I never worry about it Every time you come you beg sweet it Dis time pon de man Chameleone n music good Repeat end.