Sirhustler - Jumapili Hadi Mosi lyrics

Published

0 114 0

Sirhustler - Jumapili Hadi Mosi lyrics

sirhustler aka cj,invisible master mind the real sniper another global cla**ic societymusic inafaa VERSE Nimeamua by the way kufuata one way maovu na dispose mema na retain kuwa holly joe si siri najivunia kufuata one way ndio ni sitereze juu wengi ni wao wanao subiri ni tereze usiku na mchana ili hali waniwide kuwa mwana mziki si siri ni kipaji juu day after day mi huota sanaa kwa hii game ukipende niite shujaa kwa msimamo dhabiti still kaa bingwa matatizo yapo mengi tangu kuzaliwa lakini on this game i focus on succeess nikipata still naendelea kushaka but nikikosa pia naongezea juhudi ndani ya hii game mi simtabui mtu iwe rafike au adui wote nikaa ndugu nikiwa on top na jaribu kumaintain but nikiwa down nataka kuwa up ndani ya hii game bado nipo the same ndani ya hii game niko kama kawa chorus jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee' sibadiriki hata jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee' ndani yah hii game VERSE wanaona niki rise wana wish niwe dead juu ndani ya hii game makifili ni wengi i still do my thing bila beef naye yote still kaa abas niki blaze more fire kaa ni ug na bongo nisapata sifa still kaa nas mjeshi niko randa tabia za karembelea ndio za ni changanya wakini diss kwa ubaya na respond kaa chui si kichaa au dharau elewa deal jina mwana mziki ndio yanipa riziki ndani ya hii game niko kama kwa ndani ya hii game mi sifanyi kinaya chorus jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee' sibadiriki hata jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee' ndani yah hii game VERSE kaa kurise ni kublow naku blow niku rise then ndani ya hii game na rise niki blw kaa kushine ni kung'aa na kung'aa niku shine then ndani ya hii game na shine niki ng'aa baada ya thiki ni faraj wa henga wa kasema nisa pitia thiki but sioni faraja nataka kupaa but sina mabawa ni hard kuwa high all the time ndani ya hii game bado nipo the same ndani ya hii game niko kama kawa chorus jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee' sibadiriki hata jumapili jumamoshi bado nipo the same 'ee' ndani yah hii game