Shaa - Sugua gaga lyrics

Published

0 266 0

Shaa - Sugua gaga lyrics

Wewe nyambonde mimi nyasumi matatizo yetu hayafanani Wewe nyambonde mimi nyasubi matatizo yetu hayafanani kama una shida unamwambia nani Watu wanacheza mambo hadharani kama una shida unamwambia nani Hata mi za kwangu nimeacha nyumbani Hatufanani hatulingani hatufanani hatulingani Jiachie full mwanawani mshike mwenzio mkono kiunoni Wote jiachie full mwanawani mshike mwenzio mkono kiunoni tufanane Usihofu hasara hasara hakuna kulala usihofu hasara hasara hakuna kulala Usihofu hasara hasara hakuna kulala Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo Tukazeni mjini mipango njoo tuzisahau shida Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo Tukazeni mjini mipango njoo tuzisahau shida Kama kucheza tunacheza wote njoo tuzisahau shida Kama kuimba tunaimba wote njoo tuzisahau shida Na kama kucheza tunacheza wote njoo tuzisahau shida Hata kuimba tunaimba wote njoo tuzisahau shida Sina gari na nyumba ila wema nnao sina gari na nyumba ila wema nnao Unataka kushindana na mimi huwezi maisha yangu uswahilini siishi mbezi Unataka kushindana na mimi huwezi maisha yangu uswahilini siishi mbezi Hii ni serikali ya kiswazi bibi tunakaba jiko tunakaba choo Hakuliki wala hakuendeki wao wana dollar mmh si tuna visenti Inakuhusu usije ukaongoka meno sababu ya uchu Kwanini usipende kwanini usiende kwanini usicheze Kwanini usipende kwanini usiende kwanini usicheze Wengine chakala chakala mashetani yamepanda (yamepanda) Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda (kibanda) Chakala chakala mashetani yamepanda (yamepanda) Ameshika usinga kanasa kwenye kibanda( kibanda kibandaa kibandaa) Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo Tukazeni mjini mipango njoo tuzisahau shida Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo Tukazeni mjini mipango njoo tuzisahau shida Kama kucheza tunacheza wote njoo tuzisahau shida Kama kuimba tunaimba wote njoo tuzisahau shida Na kama kucheza tunacheza wote njoo tuzisahau shida Hata kuimba tunaimba wote njoo tuzisahau shida Sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga Sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga sugua gaga Usihofu hasara hasara hakuna kulala Usihofu hasara hasara hakuna kulala Bora bwana pengo kuliko kuwa na jino bovu Alama ya mguuni sio kovu ni hayo tu