Ray C - Sogea Sogea lyrics

Published

0 479 0

Ray C - Sogea Sogea lyrics

Chorus 2x Sogea sogea we cheza nami aha Nikikutizama nawe upate raha Usitazame pembeni jua, you are my man Usitazame pembeni jua, you are my man Verse 1 Siku ya kwanza uliponitokea Nilishindwa hata kujizuia Karibu nawe nikakupitia Haya nguvu nikapotelea Tabasamu nikaliachia Viungo vyote vilinilegea Pale nawe uliponiitikia Maungo yote yakasisimka Nimeshakupenda Nimekuzimia Sijiwezi tena hata kusogea Repeat Chorus 2x Verse 2 Embu nitazame ninavyoumia Naomba useme umenipokea Nataka niwe nawe katika dunia Nakupenda sana sitakuachia Ukweli wangu nimeshakwambia Penzi kikohozi dawa naijua Ukweli wangu nimeshakwambia Penzi kikohozi dawa naijua Njoo nibembeleze Nakuaminia Nipe raha baby Nimekuzimia Repeat Chorus 2x Verse 3 Come to me baby boy I wanna hold you, kiss you Nakutakataka Come to me baby boy Ninakutamani Ninakuhusudu Niwe wako baby Nipe nipe mambo Come to me baby boy Repeat Chorus till fade