Nwana Fa - Dume Suruali lyrics

Featuring ,

Published

0 568 0

Nwana Fa - Dume Suruali lyrics

Hudat hudat hii ni salam na ufahamu Kama unauza mapenzi sio kwa binam Hakuna haja ya kusubiri hii ni hukumu Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu Dume suruali Dume kaptula Shauri zako mradi sipati hasara Usione utani me sihongi hata kwa ishara Utaniambia nini mpaka unigeuze fala Kwanza nasikia hongo zinaleta mkosi Sentano yangu hugusi Hata ukiongea kidosi Yabaki mapenzi tusileteane ujambazi Hata upige sarakasi Utachonga Viazi BAHILI KAMA NINI!!!!!!!!! Ndio mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada Hunitakii mema Nihonge nanunua nini kwanini yani Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani Usiulize ntakupa nini dada piga moyo konde Viuno vingi kama mwali wa kimakonde Usipende hela kama mfuko Au fanya unavyofanya upate zako Vishawishi vingi binti sema na moyo wako Na ujifunze pesa zinauza utu wako Tajiri mtata kama Salah Zipo ila sitoi me ni balaa Unapenda hela zangu nami nazipenda pia Kila mtu abaki na zake bye baby tutaongea MWANAUME WA HIVYO WA NINI SASA!!!!!!!! Ndio mnavyosem Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada Hunitakii mema Aje aje ajeeee Me mtoto fulani ghali Nihonge gari Ma swt swt baby C u to day unipeleke part Aje aje ajeee Njoo nikupe TBT Sio kwa enzi ya Magufuli Zali ilikuwa long siku hizi hakuna la mentali Nikikuhonga na ukiniacha nitakujia usingizini Naepusha shari matatizo yote ya nini Hakuna kipya chini ya jua Hata nisiyyafanya nishayasikia Ningekuwa mhongaji ningeshafulia wangu Mademu wangu wa zamani wote wangekuwa maadui zangu MWANAUME HOVYO WEWE!!!!! Ndio mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada Hunitakii mema Baki na hamu zako Hata pantoni lina staff