Ellisha james - BEI YAKE lyrics

Published

0 191 0

Ellisha james - BEI YAKE lyrics

Intro Heeeeee Ellishajamesssss Eeeeeh Verse 1 Show kali ina Bei yake Ngoma kali ina Bei yake Chupa kali ina Bei yake Na kushuka south kuna Bei yake Pamba kali zina Bei yake Utanashati una Bei yake Kila gym ina Bei yake So usirushe stimu zina Bei yake Mafuta sheli yana Bei yake Leseni bima vina Bei yake Kila tinga lina Bei yake Huwezi shinda ucpolipa Bei yake Basi show kali zina Bei yake Flow kali zina Bei yake Kubwa jina lina Bei yake Maana kila vina vina Bei yake Mboyoyo nyingi hazijengi ya hee Kila fundi ana Bei yake Kila Cku ina pay yake Si ndo kitu huomba better day mazee Hook Kila kitu kina BEI YAKE (Kina bei yake). ×4 Verse 2 Uraiani kuna Bei yake Ushuani kuna Bei yake Ukapurwani kuna Bei yake Ukinaswa hawakutetei ya hee Ucjiachie kumejaa ukuda Marafiki wamejaa ujudas Uaminifu huleta jau budha Nakutoka ndani kuna dau kubwa Maana Dem mkali ana Bei yake Umentali Una Bei yake Ukikaa mtaani Bei yake Tuu kungoja zali Utajikuta inakushinda Bei yake Kila kitu kina Bei yake Nywele kucha zina Bei yake Topu skuna vina Bei yake Mpaka pedo pusha zina Bei yake Simu vocha zina Bei yake Lunch dinner vina Bei yake Burger, pizza zina Bei yake Mpaka wine,bia vina Bei yake Hook Verse 3 Darasani kuna Bei yake Maskani kuna Bei yake Mahafali hayabadili hali juu kupata kazi kuna Bei yake Akili Mali bila sirikali Ngoja ngoja noma tindikali Hatufiki mbali bila speed Kali Maisha mwendo kasi kama tuko rally Maana show Kali ina Bei yake Ngoma Kali ina Bei yake Chupa Kali ina Bei yake Na kushuka south kuna Bei yake Basi show kali zina Bei yake Flow kali zina Bei yake Kubwa jina lina Bei yake Maana kila vina vina Bei yake Mboyoyo nyingi hazijengi ya hee Kila fundi ana Bei yake Kila Cku ina pay yake Si ndo kitu huomba better day mazee Hook