Dogo Janja - My Life lyrics

Published

0 1334 0

Dogo Janja - My Life lyrics

[Chorus] Lala, lele, I'm living my life Lala, lele, I'm living my life Lala, lele, I'm living my life Lala, lele, I'm living my life [Verse 1] Thank you Lord Baba na mama, wamenileta kwenye dunia, eh! Thank you Lord for the life Japo kuna mengi ninapitia Unaecheka nae kwenye raha a a Kwenye shida atakupa jerahaa Pindi akigeuka masaaa Kizuri kinakuwa kinyaa Aliekuwa rafiki atakuona mzigo Huna nyumba, gari, unauza genge Mabibo Au baby baby unaemtoa dinner Pesa zikiyumba, "kaa mbali wewe kima!" [Chorus] Lala, lele, I'm living my life Lala, lele, I'm living my life Lala, lele, I'm living my life Lala, lele, I'm living my life [Verse 2] Kitambo mi nachana zaidi ya wanyamwezi Mtaongea sana nyie ma-young hamniwezi Mtazidi kupenga kisa stress mpaka totoro Nawanyima chakula mwaka huu mule magodoro Ku-rap mi ni mkali, style na mitindo Uliza Hamadi Ally alivyonkutaga chimbo Nilikuwa naosha magari leo namiliki bingo Asee mi ni mkali kolo nalichapa fimbo Rafiki wa kweli moyo wangu, yeah, lala lala la Japo niko peace na wanangu, yeah Don't mess up with my life [Chorus] Lala, lele, I'm living my life (yes I'm living, I'm living) Lala, lele, I'm living my life (yes I'm living, I'm living) Lala, lele, I'm living my life (yes I'm living, I'm living) Lala, lele, I'm living my life (I'm living my life) [Verse 3] Koni nasirirwe nisina thaman, Bora ninichale na MULUNGU Wani Familia yane na vazazi vane Mjukulu wa mboja nini namba moja Japo wanasema mengi, lakini mi siongei I think baada ya leo yaeza kuja better day Ndani ya week naziheshimu seven days Kama haunaga kazi piga goti tu-pray Karibu A City, kutoe tongo tongo Jiji la matajiri, halinaga longo longo Msomi Nikki Wa Pili, mi niliachaga Makongo Arusha Ngarenaro kwenye ramani ya Bongo [Chorus] Lala, lele, I'm living my life Yes I'm living, I'm living Lala, lele, I'm living my life Yes I'm living, I'm living Lala, lele, I'm living my life Yes I'm living, I'm living Lala, lele, I'm living my life I'm living my life [Outro] Ambae anaijua kesho yake anyooshe kidole juu (No one knows tomorrow)