Dela - Hello (Adele Swahili Cover) lyrics

Published

0 491 0

Dela - Hello (Adele Swahili Cover) lyrics

[Dela] Hello Ni mimi, baada ya miaka na mikaka Je twaweza kukutana, turejelee yote? Wanasema muda unaponya Mbona bado ninaumwa? Hello? Waniskia? Niko pwani nikiota juu ya vile tulikuwa Kama vijana tulipokuwa huru Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke Tofauti baina yetu ni maili milioni (Chorus) Helo toka kwa mataa (kwa mataa, kwa mataa) Mara elfu kakupigia (pigia, pigia) Kuomba msamaha Kwa niliyotenda Lakini mteja hapatikani Helo toka kwa mataa Hauwezi sema sijajaribu (jaribu, jaribu) Basi nisamehe kwa kuvunja moyo Lakini ni kama Haikujalishi kamwe Helo, waambaje? Ni kawaida yangu kujizungumzia O, niwie radhi Natumai utaniwia radhi Je, uliwezahama toka ule mji uliyokupoesha? Sio siri kuwa mi na we Tunapitwa na masaa (Chorus) Helo helo Helo, helo Helo, helo Helo, helo Helo, helo