Dara**a - Muziki lyrics

Featuring ,

Published

0 231 0

Dara**a - Muziki lyrics

Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite Mbwana Samatta Wanaota mapembe waongezee mkia na ukinibeep tu nakupigia An let me make one thing clear blaa blaa sitaki kusikia. So simba so chui so mamba ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga ni kazi juu ya kazi yaan bambaa tu bambaa Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa sinzia fegi uchome kibanda Kalale uote ndoto zako za kitanda si bado tupo macho mida ya wanga Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga Maisha na muziki acha maneno weka muziki..., Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (Yeeeeah) Safari na muziki acha maneno weka muziki (Yeeeah) kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki Bambataaa shika kamataa Pumba chakacha napokaa mchiz nshadataa nshadataaah Unataka kukimbia na hauna brekii what do you expect??? Bongo Congo kwa thabo mbeki cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make. Watch urself usije ukajiconfuse mzuka wa kuruka reggae kwenye blues. Huna mchuzi no excuse, Maisha yetu ya kila siku kama vile movie Vitu vingine havitakag ujuaj utajikuta unatandikia watu jamvi Kusubiria embe chini ya mnazi, Kumuelewesha chizi utajipa kazi. Funga mkanda kaza na kamba ama ufate nyayo uchane msamba. Pasua miamba pasua anga tunasemaga chambua kama karanga. (Uwiiiiiii) Rpt chorus... Wanatamani tupotee kwenye map tunapeleka game to the top top I that I told you that we don't stop we don't stop..."walker"