Avril Nyambura - Kitu Kimoja (Mimi na Wewe) lyrics

Published

0 694 0

Avril Nyambura - Kitu Kimoja (Mimi na Wewe) lyrics

VERSE 1 LYRICS: I wish you see how prietty I look In this shoes that you bought for me na ma-time natamani ungeona how happy you make me haijalishi kuwa haunioni ninachojali mimi mapenzi yetu CHORUS LYRICS: Mimi na wewe kitu kimoja sioni haya tukiwa pamoja Mimi na wewe kitu kimoja sioni haya tukiwa pamoja mimi na wewe... VERSE 2 LYRICS: I wish you'd see the stars in the sky just to see how amazing they look I wish you'd see me write a song for you alafu cheki wasee wakibambika haijalishi kuwa haunioni ninachojali mimi mapenzi yetu CHORUS LYRICS: Mimi na wewe kitu kimoja sioni haya tukiwa pamoja Mimi na wewe kitu kimoja sioni haya tukiwa pamoja mimi na wewe...