LYRICS.AZ APPLICATION

Download from Apple Store
Download from Google Play

Alice Kella - Mapenzini lyrics


Feat : BossBelle & Barnaba Cla**ic

VERSE1:
Mikutano ya siri, kwenye kiza kinene,
Hukutaka subiri, nikamate mapenny,
Ungeweza kukiri, mi ningejikita kwingine,
Umeficha... Ona muziki munene.

Ahaa

BRIDGE:
Au hii ndo gharama, ya kukupenda wewe,
Mzigo wa lawama, najibebesha mwenyewe,
Nakutakia salama, tutakutana mbeleni,
Namuonea huruma, mwenzangu na mimi.

CHORUS:
Kutwa umenuna,
Ukiitwa unachuna,
Amani hakuna,
Mapenzi Oh, Mapenzi Oh Oh...

[Lyrics from: https:/lyrics.az/alice-kella/-/mapenzini.html]
VERSE2:
Hivi ulikosa nini, kutaka kwangu upewe,
Kama maisha uliwini, ilibaki uolewe,
Mabuzi wote nchini, masharobaro mjini,
Bado ukang'ang'ana nami, lakini kwanini...

Ahaa

BRIDGE:
Au hii ndo gharama, ya kukupenda wewe,
Mzigo wa lawama, najibebesha mwenyewe,
Nakutakia salama, tutakutana mbeleni,
Namuonea huruma, mwenzangu na mimi..

Oh Oh...

CHORUS:
Kutwa umenuna,
Ukiitwa unachuna,
Amani hakuna,
Mapenzi Oh, Mapenzi Oh Oh...

Correct these Lyrics